dakawa high school kunani

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
jamani hiiis hule enzi zetu iliwahi kutinga tano bora kipindi kile ilikuwa mchanganyiko lakini tangu iwe ya girls mambo si mambo ni kama haipo vile kunani jamani mi nasikia uchungu
 
nasikia uchungu hii shule ilikuwa na watoto wa vigogo enzi zile lilikuwa jicho la serikali kwa high school za masomo ya art but now hata haijulikani kama ipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…