DAKIKA 0 nitakuwa hapo bro!

DAKIKA 0 nitakuwa hapo bro!

Mjukuu wa kigogo

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2023
Posts
445
Reaction score
1,094
Nivumilie bro "Choppa" ipo karibu

FB_IMG_1730708765847.jpg
 
Dakika sifuri ni nini? Hata Mungu alipoanza kuumba dakika sifuri haikuwepo.
Ipo ndani ya Sekunde Sifuri na kwa Mungu hakuna Sekunde Dakika wala Saa ni infinity hakuna usiku wala mchana ni mimwanga tu non-stop hakuna kuvaa nguo wala kuvua nguo wote mnakua uchi mpaka yeye mwenyewe ila hakuna anaemuona mwenzake yupo uchi
 
Ukishaona kisendo kinaelea juu kama papai halafu anakanyagia mgumu mkavu huku sendo inaelea hivyo basi kimbia, usigeuke nyuma maana huyo akisema analiingia semi analiingia kweli.
 
Ukishaona kisendo kinaelea juu kama papai halafu anakanyagia mgumu mkavu huku sendo inaelea hivyo basi kimbia, usigeuke nyuma maana huyo akisema analiingia semi analiingia kweli.
Shada la Maua muda wowote linakuhusu
 
Back
Top Bottom