Dakika 180 bila goli

Dakika 180 bila goli

canfi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2022
Posts
1,368
Reaction score
1,477
Hongera kwa uahindi mtani. Lakini ukajitafakari kucheza dakika 180 bila kufunga goli. Kwenye ligi utatakiwa kufunga ili uwe boingwa, huko hakuna penati za kuamua mshindi
 
Wivu tu
 
Kwani wewe mtani katika hizo hizo dk ulifunga magoli mangapi?
 
Kila mashindano yana strategy yake hayo ya ligi tuachie sisi kikubwa tumeshawaliza hili la Ngao .
Hawezi kukuelewa.Kila mashindano yana mbinu zake za kucheza na kushinda.The end justifies the means.Mpira sio singeli anasifiwa anayekatika.
 
Hongera kwa uahindi mtani. Lakini ukajitafakari kucheza dakika 180 bila kufunga goli. Kwenye ligi utatakiwa kufunga ili uwe boingwa, huko hakuna penati za kuamua mshindi
Ukiona timu Haina goli ila imekuwa bingwa, basi ujue kuna timu pia zilishindwa kuifunga magoli, mbaya zaidi hizo hizo zilizoshindwa kuifunga na zenyewe zinashiriki Ligi ya Bara. Kwa lugha nyingine, hata hizo timu zinaweza kuendelea kuwa wasindikizaji kwa kushindwa kwao kumfunga magoli bingwa!
 
Nasema ukweli . Timu hizi wanapeana fulsa kama yanga ilishinda sana kwa muda huoni sasa ni simba imeshinda pia ili wasikose washabiki ndio mtazamo wangu
 
Back
Top Bottom