Dakika 60 kwa condom bila 'ku-pliz', Dakika 15 nyama kwa nyama magoli 2.

yutu

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2013
Posts
1,668
Reaction score
1,017
Habari ndo hiyo wana MMU naomba mnipe uzoefu wenu.

Mara nyingi ninapocheza mechi za ugenini lazima nitumie zana (condom) na ku-boost ubongo kidogoo either kwa value 2 nikimix reds au safari 1 tu inatosha.

Lakini kilichonitokea jana naona kigeni kwa wastani wa dk 20 mpaka 30 toka tulipoanza hiki kitendo mwandani alionekana kuchoka na kuchomoa dushe kisha kulikagua, baada ya kuona hamna kitu nilimbembeleza na kumwomba kwa dk 5 tu lakini hali iliendelea hivyo hivyo kwa dk nyingine 25-30 bila kumwaga yaani nikianza kumpanda mlima kabla sijafika kwenye peak anachomoa na kuona naanza kupanda upya.

Hali hii ilinisononesha sana na kujiona kama nina mapungufu baadae nikaona liwalo na liwe nikavua gamba taraatibu nikaanza kukwea kilima cha kushangaza sikutumia nguvu nyiingi yaani mwanzo wa goli mpaka mwisho kama ronadinho vile.Raha mustarehe.


Ila nilichogundua papuchi zinatofautiana haiwezekani kilele kwa kilele huyu utumie saa nzima kwa huyu utumie kwa huyu utumie dk 7.

Tupeane ushauri na uzoefu ni hilo tu

kifimboplayer.
 

Inawezeka umeanza kuishiwa nguvu za kiume.Jaribu kunywa mchuzi wa pweza na kula karanga za kutosha.
Ila suala la kugonga bila kuvaa mpira lilisha pitwa na wakati kiongozi na wala si la kujisifia....
 

Proper mswahil huna akili unamuacha mkeo unahangaika utakuta nyumbani kwako umewacha elfu tatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…