Mainus JF-Expert Member Joined Mar 7, 2016 Posts 295 Reaction score 238 Mar 31, 2016 #1 Hivi ni kweli kuwa kila binadam huwa na dakika tano za ukichaa kila siku katika maisha yake? Naombeni mchango wenu katika hili
Hivi ni kweli kuwa kila binadam huwa na dakika tano za ukichaa kila siku katika maisha yake? Naombeni mchango wenu katika hili
V vampire_hunter007 JF-Expert Member Joined Jul 25, 2015 Posts 1,034 Reaction score 2,624 Mar 31, 2016 #2 Sio kweli....Mi nna masaa manne
Mainus JF-Expert Member Joined Mar 7, 2016 Posts 295 Reaction score 238 Mar 31, 2016 Thread starter #3 vampire_hunter007 said: Sio kweli....Mi nna masaa manne Click to expand... Unayatumiaga kufanya nini mkuu
vampire_hunter007 said: Sio kweli....Mi nna masaa manne Click to expand... Unayatumiaga kufanya nini mkuu
V vampire_hunter007 JF-Expert Member Joined Jul 25, 2015 Posts 1,034 Reaction score 2,624 Mar 31, 2016 #4 Mainus said: Unayatumiaga kufanya nini mkuu Click to expand... Kuwashika matako wanawake....Af sipigwi wala nini
Mainus said: Unayatumiaga kufanya nini mkuu Click to expand... Kuwashika matako wanawake....Af sipigwi wala nini
Dream Queen JF-Expert Member Joined Nov 4, 2015 Posts 8,263 Reaction score 18,201 Mar 31, 2016 #5 vampire_hunter007 said: Kuwashika matako wanawake....Af sipigwi wala nini Click to expand... Khaaaaah!
vampire_hunter007 said: Kuwashika matako wanawake....Af sipigwi wala nini Click to expand... Khaaaaah!
naiman64 JF-Expert Member Joined Nov 22, 2013 Posts 6,961 Reaction score 5,460 Mar 31, 2016 #6 vampire_hunter007 said: Kuwashika matako wanawake....Af sipigwi wala nini Click to expand... Heeeeeee !!!
vampire_hunter007 said: Kuwashika matako wanawake....Af sipigwi wala nini Click to expand... Heeeeeee !!!
TADPOLE JF-Expert Member Joined Nov 18, 2015 Posts 2,914 Reaction score 9,472 Mar 31, 2016 #7 mnashangaa nini vampire_hunter007 ndo alivyo ndugu zake tunapataga nae tabu sana
Mainus JF-Expert Member Joined Mar 7, 2016 Posts 295 Reaction score 238 Mar 31, 2016 Thread starter #8 vampire_hunter007 said: Kuwashika matako wanawake....Af sipigwi wala nini Click to expand... Wewe unapigwa ila huwa hujitambui kwasababu unakuwa hujifaham
vampire_hunter007 said: Kuwashika matako wanawake....Af sipigwi wala nini Click to expand... Wewe unapigwa ila huwa hujitambui kwasababu unakuwa hujifaham
Mainus JF-Expert Member Joined Mar 7, 2016 Posts 295 Reaction score 238 Mar 31, 2016 Thread starter #9 TADPOLE said: mnashangaa nini vampire_hunter007 ndo alivyo ndugu zake tunapataga nae tabu sana Click to expand... Poleni sana ila hayo yote ni kwasababu ya hizo dakika zake za ukichaa
TADPOLE said: mnashangaa nini vampire_hunter007 ndo alivyo ndugu zake tunapataga nae tabu sana Click to expand... Poleni sana ila hayo yote ni kwasababu ya hizo dakika zake za ukichaa