Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Kwanini mkuu? Mimi hata danadana 3 sijuimkuu mimi nitakuchagua wewe
Unaonekana fundi wa mipira iliyokufaNitapiga mwenyewe
Huyo Juninho anajua sana kwenye mipira iliyokufa, nilimsahau kidogo tuDavid Beckham, kama hayupo anachukua Juninho Pernambucano.
Shunsuke Nakamura na mguu wake wa kushoto alikuwa fundi sana wa mipira ya adhabu. Man utd hasa Van Der Sar anamjua vyemaBeck's,juninho,Nakamura itategemea ninae nani
Bekam kama hayupo basi nampa cr7...Wakuu "imagine" mechi muhimu pengine fainali halafu dakika ya 90 mnapata faulo nje ya box la adui, wewe ukiwa kama kocha/captain utampa nafasi nani ya kupiga faulo hiyo ili walau mpate goli la ushindi?
Kati ya hawa utamchagua nani? Beckham, Pirlo, Cristiano, Roberto Carlos, Messi, Ronaldinho, Requelme, Ronaldinho, Yaya Toure, Mata?
Mtaje ambaye hata kama hayupo kwenye list.
Sawa mkuuBekam kama hayupo basi nampa cr7...
Umechambua vizuriInategemea na hiyo faulo ipo eneo gani nje ya box,katikati? kulia kwa mchezaji atakayepiga au faulo ipo kushoto ya box toka kwa mchezaji atakaye piga,
Kama mpira upo nje ya box kushoto kwa usawa wa mpigaji nampa MESSI,kama kulia CR7 na kama ni katikati basi atapiga Roberto Carlos.