Dakika za jioooni kabisa Nabi anakosa ubingwa Morocco

Dakika za jioooni kabisa Nabi anakosa ubingwa Morocco

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
22,719
Reaction score
40,739
Dakika za jioooooniiiii kwa sauti ya Pascal Kabombe, Nasreddine Nabi anakaribia kuukosa Ubingwa wa Morocco baada ya kuongoza ligi karibia msimu mzima.

Baada ya matokeo haya, Raja Casablanca kwa mara ya kwanza wamekaa kileleni ikiwa imesalia mechi (1) pekee 🤔

◉ Raja 1 - 0 Wydad Casablanca.
◉ MAT 2 - 2 FA Rabat.

Msimamo wa Botola pro 🇲🇦

1. 🎮 29 🅿️ 69 — Raja Casablanca
2. 🎮 29 🅿️ 68 — FAR Rabat.
3. 🎮 29 🅿️ 52 — RS Berkane.
4. 🎮 29 🅿️ 43 — FUS Rabat.

5. 🎮 29 🅿️ 43 — UTS
6. 🎮 29 🅿️ 41 — OC Safi
7. 🎮 29 🅿️ 41 — Wydad Casablanca

NOTE: FAR Rabat ya Nabi msimu huu iliishia hatua ya kwanza CAF champions league.

Wydad anaweza asicheza hata CAF Confederations cup msimu ujao.

Tom Cruz facts 🧠
 
Timu zilizokuwa kundi moja na Simba kwenye klabu bingwa zipo hoi bin taaban.
Asec klabu bingwa hayupo baada ya kushika nafasi ya 4, Wydad nae hata top 4 hayupo na Simba nae huyo shirikisho.
Tusibiri tuone wakikutana tena kwenye kombe la Luza mambo yatakuwaje.
 
Mechi za mwisho kila mpinzani ana kitu anachopigania.
Far Rabat itacheza dhidi ya timu inayopigania kubakia top 4 huku Raja itacheza dhidi ya timu inayopigania isishuke daraja.
Kazi anayo
 
Back
Top Bottom