Daktari afumwa akila uroda na mgonjwa.

Mrembo akitamaniwa tu anapewa admission........
 
Dakitar.. Mwanajeshi na hakimu kama hawana maadili ni wapigaji sana
 
Kwa maoni yangu kuweka hizi picha mtandaoni ni kuwadhalilisha watu na kuwaharibia heshima yao hasa kwa famili zao. Hawa watu wanastahili kuchukuliwa hatua lakini sio kutangazwa hadharani. Haya mambo yanafanywa na watu wengi sana hapa nchini
 
Duh! Dunia imevaa chupi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23]
 
Aisee maadili ni kitu gani watanzania? speechless
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…