tatanyengo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2011
- 1,133
- 280
Ngd wanasheria na wataalamu wa Afya, inafahamika kuwa daktari anapomtibu mgonjwa huwa inabaki kuwa siri kati yake na mteja. Je, inapotokea kuwa Dr ametoa siri hiyo kwa watu wasiohusika anachukuliwa hatua gani?