tatanyengo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2011
- 1,133
- 280
anachukuliwa hatua za kisheria!
Mbona kila siku madaktari wanatoa siri za wagonjwa hasa hapa jf . Utawasikia madaktari wakisema kuwa ndio wanampa arv k...nde
Ngd wanasheria na wataalamu wa Afya, inafahamika kuwa daktari anapomtibu mgonjwa huwa inabaki kuwa siri kati yake na mteja. Je, inapotokea kuwa Dr ametoa siri hiyo kwa watu wasiohusika anachukuliwa hatua gani?
Ikiwa ametoa siri za mgonjwa kwa maslahi ya taifa hakuna case..! Imagine lijamaa linasambaza ngoma live kwa vitoto vigodo na ushahidi wa uhakika upo hapo mimi kama kama daktari napambana nalo pamoja na kulitangaza..!Ngd wanasheria na wataalamu wa Afya, inafahamika kuwa daktari anapomtibu mgonjwa huwa inabaki kuwa siri kati yake na mteja. Je, inapotokea kuwa Dr ametoa siri hiyo kwa watu wasiohusika anachukuliwa hatua gani?