Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

So utaratibu wa matokeo kwenu mnachungulia ya mwenzio au kila mmoja anatazama kisirisiri baada ya kulogin?
 
Wewe unazungumzia kusaliti mimi demu nikimtongoza tu anipe jibu ndio au hapana sitaki danadana, akianza danadana namkoromea halafu nakausha, unanikataaje kwa mfano, au unichukulie poa sitaki nataka hapo umenidharau na ndio imeisha hiyo, sitaki utoto kwenye mahusiano.
 
Fact💪 halafu una mbwaga😊 hakika hata mwaka hatoboi anakuwa kafa au kapata uchizi😊 ukipendwa ,pendeka🤛
 
So utaratibu wa matokeo kwenu mnachungulia ya mwenzio au kila mmoja anatazama kisirisiri baada ya kulogin?
Ma Cr walikuwa wanapewa mkeka wenye namba na matokeo kwahyo ulikuwa kama unajua namba ya mtu basi utapata matokeo yake. Yalikuwa yanachelewa kuwa uploaded kwenye system
 
Niliyoyaona mpaka mda huu:

Mosi, wengi wetu tunamuona mercy mbaya, huenda kweli alifanya vibaya lkn je alianza kuwa mbaya bilasababu?

Baada ya kukutana na text za ajabu ajabu toka kwa mwamba alianza kuumia na Mara nyingi alilalamika siku akichoka akija kuanza yeye asishtuke au kushangaa, kwahiyo mercy kwakifupi alilipiza baada ya mwamba kumwaga ugali yeye akamwaga mboga, kwahiyo Mercy asilaumiwe sana.

Pili, dokta alifanya aliyofanya baada kupigwa mkwala na mwamba pamoja na mzee wa miganja, kwahiyo ilikuwa iwe jua iwe mvua na kwa gharama yoyote amle mercy ili arudishe heshima yake na amefanikiwa katika hilo, ndio maana kila alipokuwa magetoni alikuwa anakutext kukwambia kuwa sasa namtafuna dem wako, na alikuwa anamleta chuo makusudi ili kuhakikisha unaumia vilivyo, hapa wachambuzi wa fasihi tunasema mhusika ameitendea haki nafasi ya uhusika wake, tumpe tu maua yake hata kama anawakera, na hapa kuna somo kubwa usiende kumpiga mkwara mwanaume mwenzako ila muombe kwa unyenyekevu akuachie kipenz chako, wanaume huwa waelewa sana.


Tatu, kwako mwandishi na mhusika mkuu wa uzi huu, ulifanya makosa kadhaa baada ya kuona viashiria ambavyo sio vizuri kwa penzi lako lkn ulivifumbia macho na mwisho wa siku ulipata ulichokipanda, hapa tunajifunza katu tusidharau dalili ndogo ndogo kwani mwisho wa siku huwa ni majuto.

Nne ,Usifanye jambo kwa hasira eti kwakuwa unataka kumkomoa mtu kwani mwisho wa siku hasira hasara, hapa mhusika mkuu ni mercy alidhani anamfundisha adabu mpenzi wake kumbe anajikaanga na mafuta yake mwenyewe.

Mwisho, mwanaume haijalishi unampenda vipi mwanamke hakikisha mda wote unabakia kuwa mwanaume kwa maamuzi na vitendo.

Ni hayo tu!
 
bwana mdogo remember what your uncle DR Mambo Jambo advised you. that piece of advice was crystal clear..I thought you comprehended.
humu jamvi linabeba kila aina ya watu.
mimi hii ni my second ID ambayo inanipa uhuru wa kuandika pumba. that is my fantasy, yes! na inanipa furaha.
on brighter side, nina account yangu nyingine ambayo ninaheshimiwa na wadau humu na inanipa connects za msingi na watu humu tunaoheshimiana.

take a bow bwana mdogo, that eclipses how manly you are!
 
Hapa hata mimi nammaind Sana, huwezi kumfurahisha kila mtu, ajifunze kudharau baadhi ya mambo
 
We chalii una undugu na Mama Maria Nyerere? Una busara ile laana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…