Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
We kuna muda ulitumia mapenz badala yaakili na kutumia akili badala ya mapenz,Mercy ni muuaji kwako alitaka ufe.That day ungemuacha afe pia no way out

Ulimkosea Mery sanaa,umemuacha chuo na stress,ulitaka afeli?
 
ila kuna watu mna nature ya ubishi tuu , na aliwaonesha mpaka ripot ya experiment na picha wapo laboratory
Siyo ripot. Andika report. Ukitaka hadi picha watu wapo chooni unapata. Acha hiyo laboratory. Muwe mnachanganya na za kwenu.
 
Noted!


Awali dogo alimwambia ambebee ujauzito Mercy akasema hawezi kufanya hivyo kabla ya kufunga ndoa lakini unaona mbele ya pesa mwanaharamu anapigwa na kitu kizito anapata matokea ambayo hakuyatarajia na anaulizwa mstakabali wake anajibu hajajua cha kufanya.



Na wazo la kutoa limemuijia sio kweli kwamba alimpenda dogo kwa dhati, no! Patakuwa palitokea changamoto kwa dokta ndo kugundua kwamba kumbe mission inakwenda kufeli akaanza kutapa tapa. Unjia panda huo ulimpa mrejesho kujirudisha kwa dogo kupata kama faraja bila kujali hali ya mimba aliyonayo.

Kiukweli wanawake ni wabaya wakiamua na tena dogo.asingekuwa mwingi wa hesabu bila shaka angekabidhiwa na mimba.
 
Mfyyuuuuuuuuuuu
 
Endelea mkuu
 

Wewe dokta "miti shamba" DR Mambo Jambo acha ujinga wako, unakuwa serious hata kwenye vitu vya kijinga jinga hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…