Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

Thanks
 
Mkuu kama bado hujamsamehe huyo dokta, njoo nikupe connection ya Mganga wa Handeni tumalize kazi. Dawa ya moto ni moto. Tumtie adabu huyo dokta.
 
Uko sawa kabisa, kiufupi akate kabisa mawasiliano na mzazi wa mwanaume mwenzie.
 
Mercy utamuoa, niamini mimi bro.
 
sikufurahishwa na kitendo cha moyo wako kutokupasuka na afya ya akili kuimarika!
Kwa namna huna akili hata unapopata maono ilibid ukufe ili wengi wajifunze kutotilia maanani vitu vya holela kama mapenzi!
Kanuni ya mapenzi ni simple, tuko pamoja kwa sababu tunaongea lugha moja
Tofauti na hapo mambo mengine yaendelee.
kuna story ya ...umalaya na ukahaba napenda namna inachukulia ngono kitu cha kawaida mno!
Wivu usio na gavana ni ulemavu na adui wa furaha!
 
Oa kwingine halafu umfanye mchepuko wa kudumu ,

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…