Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

Uko sawa kabisa, me nimemwambia bwana mdogo kwamba kama bado anaumia, kisasi ni haki yake. Asogee tu handeni tumalize shughuli, huyo dokta anayejiona ana hela, akazimalizie kujitibia sasa ili akili imkae vizuri. Dawa ya moto ni moto tu.
 
Shida inakuja kama akiumwa na kwenda hospitali wakumtibia ni dokta lazima uwe mpole maan x-trial unaweza ikwepa ukapanda daladala😀😀
Hawa ndo wanapataga PTSD hadi wake zao badae hawataki wajifungue mbele ya daktari wa kiume, wako tayari watoboke mifukoni ila daktari awe mwanamke. Me nadhani kijana atafute mshauri nasaha mzuri amsaidie. I can reccomend one akitaka
 
Nimeshauri nikiwa na experience. Nilipenda, nilinyoshwa. Halafu nilipo-move on, nikajichaganha na watu ndiyo ninagundua kumbe demu mwenyewe alikuwa kipori.
 
Ahsante kwa ushaur
 
Pole sana aiseeh. Ulisema Mercy alikua anakupa Penzi kwa mafungu mafungu, ila baada ya kutoka kwa Dr. alianza kukupa mapenzi ya nguvu inamaanisha Dr. alimpa uzoefu wa kukazwa sana.
Ukimuoa Kaa ukijua kuwa Kuna siku Dr. atamuita kuona mtoto atamkaza tena na atakutumia sms vilevile kukuumiza pia.
 

Understood
 
Nimesoma uzi huu nikiwa na hasira sana mimi ni Mama li shangazi na watoto wa kiume wa 3 kila siku nawafunda kuwa wanaume uzi nilikuwa nausoma nashikwa na hasira nilikuwa nafurahia comment za DR Mambo Jambo nimeongeza kitu kwenye mafundisho ya vijana wangu.
 
Mara nyingi manzi akikutana tu na Hawa viumbe Anza kuhesabu maumivu.
Kuna madoctor
Askari
Muuza nguo za dukani
Wasusi WA kiume
Maafisa bank
Wauza chips
Akitoa tu namba Kwa hao watu Anza kujiengua mapema.
Na kama hutak kujiengua basi kubal kushare.

Kuna manzi nilimpenda Sana nilijiaminisha Sana kwake
Nilijitoa Sana kwake Kwa hali yangu hii hii ya umaskin
Nilimpa muda wangu
Niliona Dunia ni yangu.
Ila mwisho WA siku nilikuja lipwa maumivu makali Sana.

Kupitia huyu pimbi nawaona wanawake wote kama shetan.
Yes nimeoa lakin nimeoa tu kutimiza wajibu ila mwanamke wangu simpi umuhimu wowote ule maishan mwangu.

Namchukulia tu kama mshkaji so hata akiondoka Leo hii Sina Cha kupoteza maishan mwangu .

Kwakifupi Sina Ile love ya kumpa mwanamke seriously yaan nipo neutral Sana .

Ushaur wangu Hawa viumbe tuishi nao tu ila tukijua ni kama kitanda Cha lodge Leo utalia wewe kesho atalalia mwingine ,Sina Tena huo moyo WA kumzingatia kiivo mwanamke .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…