Daktari wa timu ya soka ya Simba Sports Club, yassin gembe amempa wiki moja zaidi beki wa timu ya Simba, Shomari kapombe kabla ya kurudi rasmi uwanjani, kuitumikia timu yake, mchezaji huyo aliumia. Nyonga wakati anaichezea timu ya taifa dhidi ya rwanda, kwenye mashindano ya kufuzu chan, kwa mujibu wa mratibu wa timu ya simba Abbas ally, kapombe anatarajia kujiunga na timu wiki ijayo hili afanye mazoezi ya pamoja na wenzake, baada ya kuendelea vizuri, hivi sasa anaendelea na mazoezi mepesi, kurudi kwa Kapombe kutaisadia na kuiongezea timu yake katika mechi zilizosalia, katika kupata Ushindi.