MWANDENDEULE
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 4,099
- 7,466
siyo abakwe aolewe tu hamna namna tena, sasa hayo makongolo kayaninginza ya nini?Kama hataki inabidi abakwe tu maana hakuna namna
Hahaha....mnauwa kabisa wakuusiyo abakwe aolewe tu hamna namna tena, sasa hayo makongolo kayaninginza ya nini?
je kama unapiga punyeto homon zitazidi?Nimeshaona mdada pia alishauriwa na doctor akafanye sex, alikuwa hajafanya kwa kipindi kirefu, sex ni tiba kuna article inaelezea namna sex imekuwa tiba kabisa by scientists, hormones ziki zidi mwilini zinaleta madhara,
Apige punyeto basi...Asalam wana Member wote..Kuna kijana(Me). Ana umri wa miaka 25,, Tangu azaliwe hajawahi kufanya tendo hilo.. ni mhitimu wa chuo kikuu kimojawapo hapa Dsm. baada ya kusumbuliwa sana na maradhi ya mgongo na tumbo, jana alienda kuonana na Doctor..baada ya kumueleza tatizo lake,, Dr alimshauri tiba yake ni kufanya Sex... Sasa yeye hayupo tayari lengo lake hadi aowee. Anaitaji ushauri wenu... Mimi nimeshindwa nimshauri nini......
Asalam wana Member wote..Kuna kijana(Me). Ana umri wa miaka 25,, Tangu azaliwe hajawahi kufanya tendo hilo.. ni mhitimu wa chuo kikuu kimojawapo hapa Dsm. baada ya kusumbuliwa sana na maradhi ya mgongo na tumbo, jana alienda kuonana na Doctor..baada ya kumueleza tatizo lake,, Dr alimshauri tiba yake ni kufanya Sex... Sasa yeye hayupo tayari lengo lake hadi aowee. Anaitaji ushauri wenu... Mimi nimeshindwa nimshauri nini......
Hormones Zizidije mkuu, SEX NA NYETO ni ishu moja sema NYETO ni selfie ila zote hupunguza kiwango za hormones during ejaculation.... Believe me or not uwingi wa hormones ni tatizo,je kama unapiga punyeto homon zitazidi?
[emoji1] nyeto ni selfie[emoji115] [emoji3]Hormones Zizidije mkuu, SEX NA NYETO ni ishu moja sema NYETO ni selfie ila zote hupunguza kiwango za hormones during ejaculation.... Believe me or not uwingi wa hormones ni tatizo,
Mpendwa M7,
Mbona dawa ni ndogo !! 'afunge saumu (fasting) katika week mara moja au mbili.. hilo sanga lote litaisha!! au afunge saumu siku ya j3 na alkhamisi...
Vijana wa kileo ndivyo wanavyoita mkuu[emoji1] nyeto ni selfie[emoji115] [emoji3]
Kwanza kbs kunga saumu huondoa hamu za kiasherati, huondoa mawazo uhalifu wa aina zote, huondoa matamanio na kujenga uvumilivu na husafisha damu na kuteremsha cholesterol mbaya mwilini...Faida yake ni nini mkuu ukiacha kama zoezi la tumbo?