MUWHWELA
Senior Member
- Oct 26, 2013
- 167
- 238
Nawasalimu ndugu zangu! Nimejiwazisha tu kwa sauti.
NJOO NA MAWAZO YAKO KAMA MENGINE HUKUBALIANI NAYO. I stand to be corrected
Daktari ANATIBU nini kama mwenyewe na jamii yake HAJAJISOMA? why nimewaza hivi.. Kuna mahala pakubwa sana sisi kama waarifka tumekuwa corrupted 100% na mifumo ya kikoloni.
1-Education system - Elimu yetu ni Elimu ambayo Iko based na tafiti, nakubaliana na Hilo. Je nani alifanya tafiti? Alifanya kwa Nia Gani? Matokeo ya tafiti hiyo Yako wazi? Nani mmiliki wa hiyo tafiti?
Fani ya udaktari ni fani nyeti sana, Lakini ndiyo fani pekee inayofanya biashara na UHAI wa watu, maskini hata madaktari wetu hawajui kama Wanafanya biashara na maisha ya watu, why? Come
2-Vitabu vyote na vifaa tiba vyote, dawa zote na vibari vya ubora vinatolewa na wazungu, shirika la afya duniani na mashirikisho ya wazalishaji wa dawa duniani hao ndiyo mabigi wa kuamua ufe lini na ufeje.
Sasa tunao matabibu wetu ambao hata KUJIJUA wao ni akina nani wanategemea formula ya mzungu, je mzungu na sisi watu weusi tumeumbwa sawa? Tupo sawa kijenetiki? Jibu ni hapana.
Kama ni hivyo itakuwaje kanuni ya aina moja ifanye kazi kote? Huu ni uhuni kama uhuni Mwingine tu.
Nachofahamu ni kwamba pharmaceutical industry na food industry duniani ndiyo sekta zenye nguvu kuliko Dini na serikali zote duniani, wao ndiyo wanaamua wapunguze watu kiasi Gani kwa style Gani maana wao ndiyo wanaomiliki research zote kubwa duniani. Hakuna serikali yenye uwezo wa kubishana nao.
MATABIBU WETU: Wajitutumue kidogo na kufuata wale wazee wa zamani wawape Siri za kwanini wao waliishi na walifanikiwa Katika mambo yote ya Afya? Then hizo taarifa zipewe ulinzi na serikali bila kujali hao wazungu na mashirika Yao yatasemaje maana sisi nasi ni watu huru.
Hakuna dawa isiyotokana na mimea au masalia ya viumbe hai wa majini au ardhini, hakuna ugonjwa ambao siyo mapungufu ya madini ,vitamini , protein , je hayo mapungufu si zamani mpka sasa yanapatikana Katika matunda, nafaka, magome ya miti,viungo na mizizi? Why matabibu wetu hawawezi kusema kwa sauti.
UJINGA WETU NDIYO BIASHARA YAO, WHO FEED YOUR STOMACH CONTROL DECISIONS