The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
Kufuatia mlipuko wa ugonjwa wa homa ya nyani nchini (mpox), Daktari Godfrey Mtunzi Kutoka Manispaa ya Iringa Amesema Makundi ya Watu waliopo hatarini kupata Ugonjwa wa Mpox Ni Madada Poa Wazee Watoto na Wasafiri na kushauri wawe makini kuweza kujikinga na ugonjwa Huu wa mpox.