Sio Dr. Marealle mkuu, alikuwa hana dharau kabisa. He was a great doctor and a very down to earth person. Rest in peace my brother from another mother.
Marealle hawa sindio top wa ma mangi ki ukoo? Hata KCMC yupo mwengine pale nae top.
Wako very exposed ndio maana hawanaga nyodo...Maisha wanayo from the Core
Duh wakuu hizi RIP ambazo hamkutoa kipindi kile mgejaribu kuzitoa baadae wakati RIP zimepungua..., nyakati hizi ambapo vifo ni vingi kuongeza vingine watu wasiocheki tarehe wanaweza kudhani ni recent
Nimeangalia huu mkono nikakumbuka siku ya kwanza kwenda moi pale sikupanda pikipiki kwa miezi Mana picha za wagonjwa wa pale zilinifanya nikaogopa sana[emoji3064][emoji3064] nilikuaa nikiona pikipiki naona Kama ni jeneza