Bin Chuma75
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 995
- 1,067
Nenda muhimbili
Wapo wengi tu
Muone Dr Mwaka, amewasaidia wengi mkuu!
KAMA U SERIOUS NICHEK UPANDE WA PILI NITAKUELEKEZAWakuu habari, nahitaji kuonana Na dr bingwa wa wanawake kuhusu mambo ya uzazi, mwenye kujua wapi anapatikana au hospital gani tafadhalini msaada kwenu
KAMA U SERIOUS NICHEK UPANDE WA PILI NITAKUELEKEZA
nimejibu sema sijakupigia tu..na nimekutumia na namba yangu..check vyemaNimeku PM mbona kimya?
Mwaka anapambana na matatizo ya uzazi, kigwa ndio anapambana na Mwaka MpyaMwaka mtoto WA mjini, huyo anapambana na kigwa
Ni PM nikupe namba za bingwaTatizo muhimbili c unajua Mkuu prosses zao, uanze Na general kwamza ashimdwe ndio upangiwe bingwa, sasa nahitaji kumuona hata private ili iwe rahisi
Nami nahitaji msaada km huoKAMA U SERIOUS NICHEK UPANDE WA PILI NITAKUELEKEZA
ok poa ni PM nitakujuza zaidi..Nami nahitaji msaada km huo