Daktari Bingwa

nguvumali

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2009
Posts
4,924
Reaction score
1,334
Leo nilienda kuonana na daktari bingwa wa Macho pale Muhimbili.

nimeingia ndani ya chumba cha bingwa huyo nikakuta ni kijana ambaye havuki miaka 35.
nikamuuliza nimekuja kuonana na bingwa wa macho....kijana akasema ndio yeye bingwa...!

niwaulize bandugu, ubingwa wa daktari wa tiba unaangalia nini ? Mimi nilidhani elimu plus working exprience .
 

bingwa ni senior , in general bingwa ni Ph.D holders . lakini pia sio lazima PhD . anaweza kuwa MD, MS na anauzoefu wa muda mrefu wa muda.
 
Daktari bingwa Ni kiswahili cha specialist, yaani daktari mwenye MMed
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…