Wakuu naombeni kuongezwa uelewa. Kila nikiona ajira za kada ya afya zimetolewa naona vyeo au madaraja yanawekwa kama daktari msaidizi Daraja la pili n.k. sasa naomba kujua daktari daraja la pili ni mtu aliyesomea tiba kwa ngazi gani mfano ni Clinical officer, Clinical assistant, Assistant medical officer (AMO) au Medical doctor (MD)?