DAKTARI DARAJA LA II

kacherema

Senior Member
Joined
Oct 3, 2017
Posts
124
Reaction score
60
Wakuu naombeni kuongezwa uelewa. Kila nikiona ajira za kada ya afya zimetolewa naona vyeo au madaraja yanawekwa kama daktari msaidizi Daraja la pili n.k. sasa naomba kujua daktari daraja la pili ni mtu aliyesomea tiba kwa ngazi gani mfano ni Clinical officer, Clinical assistant, Assistant medical officer (AMO) au Medical doctor (MD)?
 
mkuu achana na hayo ya madaraja, wew nenda moja kwa moja soma sifa za muombaji, utajua kama elimu yako inastahili au la.
usisome matangazo ya ajira juu juu
 
Mbwembwe tu hakuna kitu hapo. Hiyo ni mbinu mpya ya kunyima ajira. Achana na mambo ya daraja, we soma vigezo vinavyo takiwa kama unavyo chukua hatua.

MGC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…