andythelast
Member
- Mar 22, 2014
- 65
- 23
Samahani kama unajua tiba mbadala za ili tatizo,au kama una mawasiliano ya daktari mmoja hivi alirusha kipindi ITV akionyesha dawa hiyo inayotengenezwa na mbegu za maboga na asali nipatie please,yani disk zimekauka ule ute ute.Thanks