andythelast Member Joined Mar 22, 2014 Posts 65 Reaction score 23 Jul 15, 2014 #1 Samahani kama unajua tiba mbadala za ili tatizo,au kama una mawasiliano ya daktari mmoja hivi alirusha kipindi ITV akionyesha dawa hiyo inayotengenezwa na mbegu za maboga na asali nipatie please,yani disk zimekauka ule ute ute.Thanks
Samahani kama unajua tiba mbadala za ili tatizo,au kama una mawasiliano ya daktari mmoja hivi alirusha kipindi ITV akionyesha dawa hiyo inayotengenezwa na mbegu za maboga na asali nipatie please,yani disk zimekauka ule ute ute.Thanks