Lord Diplock MR
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,393
- 3,237
Duh.Alikuwa ananyonya K?
Kipipi
Ok , sawa daktari nashukuru kwa taarifa asante.Daktari wa Ommy Dimpoz amesema koo la Ommy Dimpoz bado linaendelea kutoa usaha tofauti na ilivyotegemewa. Siku ya leo Ommy Dimpoz alikwenda hospitali kwa ajili ya kutoa mrija aliowekewa lakini baada ya kumchunguza Daktari amekuta bado anatoa usaha hivyo watasubiri mpaka wiki ijayo ili wamtazamie zaidi
Awali ilikuwa kama angetolewa mrija leo basi angeruhusiwa kuondoka South Africa.
Aidha Daktari huyo ameeleza kuwa Ommy Dimpoz alikunywa kinywaji chenye sumu na sumu hiyo inaweza kuwa Alkaline au Acid
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo bongo uchawi mwingi yaan wanaoneana wivu mbayaa.Faith,
Ommy, be on guard, stand firm in the faith, be courageous, be strong God is in control.
Hilo ni wazo lako tayariHapo utaskia watu wanasema amepigwa KIPAPAI na WCB... Bongo wape picha tu story watatunga wenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
kuna mtu anaitwa hamissa alisema jamaa ndo alikuwa wa kwanza kuonja Mofaya...Daktari wa Ommy Dimpoz amesema koo la Ommy Dimpoz bado linaendelea kutoa usaha tofauti na ilivyotegemewa. Siku ya leo Ommy Dimpoz alikwenda hospitali kwa ajili ya kutoa mrija aliowekewa lakini baada ya kumchunguza Daktari amekuta bado anatoa usaha hivyo watasubiri mpaka wiki ijayo ili wamtazamie zaidi
Awali ilikuwa kama angetolewa mrija leo basi angeruhusiwa kuondoka South Africa.
Aidha Daktari huyo ameeleza kuwa Ommy Dimpoz alikunywa kinywaji chenye sumu na sumu hiyo inaweza kuwa Alkaline au Acid
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu amjaalie kwa kweli maana maradhi ni mtihani mkubwa kwa kweli.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mungu atamjaalia heri atapona inshaalah!
Kwanini alimwacha akapata hilo tatizo wakati alikua na uwezo wakulizuia?
Tangu Ommy aanze kuumwa cjawahi skis hii ktu naona ww ndio unaanzisha ss!Hapo utaskia watu wanasema amepigwa KIPAPAI na WCB... Bongo wape picha tu story watatunga wenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app