Mungu hashindwi kukufanya ww uishi raha mustarehe shida uziskie tu kwa watu ila mwenyezi anafanya mambo kwa utashi wke hapangiwi km manabii wke ilikuwa inawakuta misukosuko mm na ww akina nani anaweza kukupa mtihani wa maradhi na yy mwenyewe akakuondoshea anaweza kupa mtihani wa kutopata mtoto kwa muda autakao yy ukapata mtoto so chunga sana ulimi wko bro!Kwanini alimwacha akapata hilo tatizo wakati alikua na uwezo wakulizuia?
Mimi naona mnampa sifa za bure tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hoja zenu wasanii zinaaksi umuhimu wa elimu.wasanii wa bongo fleva..wajiangalie vizuri...
inafanana kama kuna watu wanatumia njia nyingi chafu kupoteza wenzao!...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kinywaji gani icho chenye sumuDaktari wa Ommy Dimpoz amesema koo la Ommy Dimpoz bado linaendelea kutoa usaha tofauti na ilivyotegemewa. Siku ya leo Ommy Dimpoz alikwenda hospitali kwa ajili ya kutoa mrija aliowekewa lakini baada ya kumchunguza Daktari amekuta bado anatoa usaha hivyo watasubiri mpaka wiki ijayo ili wamtazamie zaidi
Awali ilikuwa kama angetolewa mrija leo basi angeruhusiwa kuondoka South Africa.
Aidha Daktari huyo ameeleza kuwa Ommy Dimpoz alikunywa kinywaji chenye sumu na sumu hiyo inaweza kuwa Alkaline au Acid
Sent using Jamii Forums mobile app
Surely!Faith,
Ommy, be on guard, stand firm in the faith, be courageous, be strong God is in control.
Ila huo si uchawi ni hivi vinywaji tunavyotumiaTatizo bongo uchawi mwingi yaan wanaoneana wivu mbayaa.
Siunaona Darasa walivyomkosa ktk ajali, wamempata ktk madawa???
*I shall kindly Knee to leave my Pride*
[emoji23] [emoji23] Alikiba alimtoa chambo mwenzakekuna mtu alisema jamaa ndo alikuwa wa kwanza kuonja Mofaya...
Mkuu watakuambia unafurahia ugonjwa wa mwenzako..
Umeeleweka na wa size ya ubongo wako.Kwanini alimwacha akapata hilo tatizo wakati alikua na uwezo wakulizuia?
Mimi naona mnampa sifa za bure tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ya Mungu muachie Mungu hazard.Kwanini alimwacha akapata hilo tatizo wakati alikua na uwezo wakulizuia?
Mimi naona mnampa sifa za bure tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Porojo tuMungu hashindwi kukufanya ww uishi raha mustarehe shida uziskie tu kwa watu ila mwenyezi anafanya mambo kwa utashi wke hapangiwi km manabii wke ilikuwa inawakuta misukosuko mm na ww akina nani anaweza kukupa mtihani wa maradhi na yy mwenyewe akakuondoshea anaweza kupa mtihani wa kutopata mtoto kwa muda autakao yy ukapata mtoto so chunga sana ulimi wko bro!
Sent using Jamii Forums mobile app
Bongo ni nomaa watu wana roho za hila wacha kabisa ukipata kidog shida yaani watu hawapendani DaaaahTatizo bongo uchawi mwingi yaan wanaoneana wivu mbayaa.
Siunaona Darasa walivyomkosa ktk ajali, wamempata ktk madawa???
*I shall kindly Knee to leave my Pride*
Nakuombea mwenyez Mungu akujalie uweze kuelewa vitu na tusiishi kwa kufuata jinsi tunavyodhani mm naamini kila kitu Mungu hufanya kwasababu maalumKwanini alimwacha akapata hilo tatizo wakati alikua na uwezo wakulizuia?
Mimi naona mnampa sifa za bure tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaambiwa mtanzania mpe kichwa cha habari tuAkili ya watanzania jamani, ndo wonder we are, the way we are, alafu tuko buzy kutafuta mchawi nani, wakati tunajiroga wenyewe. Hiyo sumu inayozungumziwa sio kwamba alipewa na mtu aliinywa kwenye kinywaji inawezekani alichanganya au alikunywa kinywaji ambacho kilimzuru kama aleji vile, sasa watu kusikia tu neno sumu loooh, hell break loose. khaaaaaaaaaa,ngachoka