Daktari: Koo la Ommy Dimpoz linaendelea kutoa usaha

Mie bado najiuliza hii sumu haijaathiri mfumo wa chakula kwa ujumla?
Ni kwenye koo tu?

[emoji252] [emoji479]
 
Kwanini alimwacha akapata hilo tatizo wakati alikua na uwezo wakulizuia?
Mimi naona mnampa sifa za bure tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuh inaonekana huamini katika ukuu wa Mungu wewe
sio kosa inategemea na imani yako tu, kuna wengine tunaamini asilimia zaidi ya 100 Mungu anaweza yote.
Mungu akutunze
 
Tatizo bongo uchawi mwingi yaan wanaoneana wivu mbayaa.

Siunaona Darasa walivyomkosa ktk ajali, wamempata ktk madawa???

*I shall kindly Knee to leave my Pride*

Oooh kumbe hawa mateja kitaani wamerogwa bana?!
'wachawi sio watu wazuri'!
 
Write your reply...huyo doctor hajitambui,kwanza hajui ilikuwa ni acid ama alkaline ina maana hajui hata kutofautisha sifa za hizi chemicali,halafu kwani liadhirike koo ambalo hupitisha kinywaji kwa sekunde chache na sio tumboni ambako kinywaji kinakaa?,hiyo alkalini ya kukwangua koo na kuleta usaha basi sio ya dunia hii kama mnywaji hakustuka wakati anakuja.mi nadhani chanzo cha tatizo silo alilosema doctor
 

Huwezi juwa kama ni witch doctor wa kizulu
 
Allah atamuafu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vinywaji vya kugongea na ofa ni hatari sana

Jr[emoji769]
 
Tatizo bongo uchawi mwingi yaan wanaoneana wivu mbayaa.

Siunaona Darasa walivyomkosa ktk ajali, wamempata ktk madawa???

*I shall kindly Knee to leave my Pride*
Tatz mnaamn kwamba wasanii wanalogana bila kujua muhusika alikuwa anaishi vp na watu wake wengine tofauti na walio kwenye tasnia ya muziki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…