The Red Pen
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 517
- 206
hiyo kitu sio kweli na hairuhusiwi na ni kinyume ma maadili ya udaktari.
Habari wakuu...,
Kumekuwa na tetesi kuwa kimaadili ya Taaluma ya Udaktari, ni kwamba ikitokea daktari wa kiume anamfanyia uchunguzi wa kitaalam mgonjwa wa kike halafu daktari akapata mhemko then dokta anaruhusiwa kumgegeda mgonjwa ili kutuliza hali ili aweze kufanya kazi yake vizuri. Je hili jambo lina ukweli ndani yake?
Yah inaruhusiwa ila akumbuke tu kutumia kondom
ww km nani labda..ni mods au?mxeeeeeww
Nataka kuamini unatania. Na kama mgonjwa nae akipata mhemko, ni muhimu kuheshimu ofisi pia. Nawaza tu kuna foleni nje ya chumba cha dr, wagonjwa wanasubiri halafu eti unafanya nini ndani?
Mtoa mada unaangalia sana senema.
hiyo kitu sio kweli na hairuhusiwi na ni kinyume ma maadili ya udaktari.
Haya asante nimekuelewa...
Una lingine tena?
Tena sinema zile za kikubwa ambapo hata hao wanaosubiri nje hapo wanaweza wakapatwa na mhemko nao wakagegedana:smile-big:Nataka kuamini unatania. Na kama mgonjwa nae akipata mhemko, ni muhimu kuheshimu ofisi pia. Nawaza tu kuna foleni nje ya chumba cha dr, wagonjwa wanasubiri halafu eti unafanya nini ndani?
Mtoa mada unaangalia sana senema.
Mhhhhhhh????!!!Yah inaruhusiwa ila akumbuke tu kutumia kondom
Mimi nilikuja kupewa stor na mwanamke mmoja tena ni kwenye hospital kubwa tu na daktari alikuwa ni wa magonjwa Ya kina mama na uzazi sasa huyo mwanamke age ni kama 24 au 26 alienda kupima maana alikuwa anasumbuliwa na maumivu makali chini Ya kitovu Sasa baada Ya kumueleza daktari akasema inabidi wapime kama ana chango Au magonjwa ya zinaa ina bidi wachukue ule ute wa ndani ya uke,bas daktari aka mwambia atoe nguo Za chini akalala kwenye kitanda daktari akachukua groves Akavaa akamwambia apanue miguu ili atoe ule ute ili aupime,akaingiza vidole aka anza kukuna ndani,alivyo nisimulia yule mwanamke a nasema alisikia raha ya ajabu huku daktari akiendelea kukuna g-spot kwa maelezo yake yule mwanamke anasema mpaka akafika kileleni bas akaona daktari anatoa kondomu kwenye droo anavaa eti yule mwanamke akamkatalia ila siami kama kweli daktari alikataliwa, bas baada ya kumaliza kumchezea daktari alichukua ule ute akaenda kuupima na akapatikana kuwa ana chango,Sasa visa kama hivyo ninaweza kuamini aliyosema mtoa mada kwamba inawezekana.japo Sina uhakika asilimia zote maana aliyefanyiwa vitendo hivyo sio Mimi ni mwanamke niliyeku na mahusiano nae.