joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
MY TAKE; Baada ya maisha kuwa magumu, majirani wameamua kuwa makatili na wanyama. "Never trust a Kenyan"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna watanzania wafanyabiashara wa mazao/ mahindi na vitunguu waliuliwa Kenya na wafanyabiashara wa Kenya ambao walikua ni marafiki zao wa karibu Sana.Tangu lini Mkenya ana urafiki wa dhati, kuua kwao ni kama kunywa chai.