Daktari mstaafu toka Uganda auawa kinyama na marafiki zake Wakenya

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617

MY TAKE; Baada ya maisha kuwa magumu, majirani wameamua kuwa makatili na wanyama. "Never trust a Kenyan"
 
Tangu lini Mkenya ana urafiki wa dhati, kuua kwao ni kama kunywa chai.
Kuna watanzania wafanyabiashara wa mazao/ mahindi na vitunguu waliuliwa Kenya na wafanyabiashara wa Kenya ambao walikua ni marafiki zao wa karibu Sana.
 
Too general blaming....! Give details.

There are a lot of inter marriages out there btn Kenyans,Ugandan,Tanzanian and other East and central African Countries.

We are blood Sisters and brothers..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…