Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Naombeni msaada wa daktari mzuri wa ngozi special case albinism
ni haraka sana
asanteni
awe dsm!
ni haraka sana
asanteni
awe dsm!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndio mkuu ninawezaYupo mmoja pale Agakhan kama unaweza kwenda pale unambie nitakupa namba yake.
alosema ana fungus nani mkuu?Dermatologist maafuru nenda hapo mwananyamala komakoma kwenye jengo la complex, kama hajafa... Maana ni miaka mingi nimemuona tangu nikiwa mkazi wa jiji chafu.
Pole fungus ni za kawaida tu.
inaitwaje mkuu?Prof massawe(sio wa watoto)huyu ni wa Ngozi..ni the best..Ana clinic yake posta mtaa wa samora
ndio mkuu ninaweza
Naombeni msaada wa daktari mzuri wa ngozi special case albinism
ni haraka sana
asanteni
awe dsm!
This one helped me as well, na nilipata kufahamu kupitia hapa so nimeona its better nika update. Amehamia ada estate Kinondoni , ana zahanati yake (inaitwa MEDI CORPS ) ipo jirani na stend ya mbuyuni ukitokea mjini.Prof massawe(sio wa watoto)huyu ni wa Ngozi..ni the best..Ana clinic yake posta mtaa wa samora
Naomba namba za huyo specialist wa ngoz ndgu yang hata mm ninatatzo hilohiloYupo mmoja pale Agakhan kama unaweza kwenda pale unambie nitakupa namba yake.