Daktari mzuri wa ngozi anahitajika very urgent

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
27,031
Reaction score
49,928
Naombeni msaada wa daktari mzuri wa ngozi special case albinism
ni haraka sana
asanteni
awe dsm!
 
Dermatologist maafuru nenda hapo mwananyamala komakoma kwenye jengo la complex, kama hajafa... Maana ni miaka mingi nimemuona tangu nikiwa mkazi wa jiji chafu.


Pole fungus ni za kawaida tu.
 
Yupo mmoja pale Agakhan kama unaweza kwenda pale unambie nitakupa namba yake.
 
Prof massawe(sio wa watoto)huyu ni wa Ngozi..ni the best..Ana clinic yake posta mtaa wa samora
 
mbona hamuweki no ,,wengi tunawahitaji hawa watu muhimu
 
Pro Massawe kama ulivyoelekezwa hapo juu au wengine wapo Tangi bovu
 
Prof massawe(sio wa watoto)huyu ni wa Ngozi..ni the best..Ana clinic yake posta mtaa wa samora
This one helped me as well, na nilipata kufahamu kupitia hapa so nimeona its better nika update. Amehamia ada estate Kinondoni , ana zahanati yake (inaitwa MEDI CORPS ) ipo jirani na stend ya mbuyuni ukitokea mjini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…