(Ujumbe kwa rafiki)
Nenda kwa maktari wengine, labda useme unaweza fika miji gani au upo karibu nayo watu wakutajie majina ya gynaecologists au clinic za gynaecology.
Ila msiache kumuomba Mungu, na asifikirie wazo la kuzaa ajisahaulishe na mume asilikumbushe. Jambo hilo kuwekwa akilini mwa mke na mume kuliongelea sana linabadili mengi mwilini na kwa asilimia kubwa ya watu hainasi.
Wakienda kuchekiwa wasirudi kushinda wanaongelea kuji stress etc
Esp mke lazima asijawe na mawazo hayo kila sekunde. Wapeane moyo na wafurahie maisha na kusubiri muda wao. ( Hii ni kama hawana matatizo kabisa kiafya juu ya hili)