Regends hosp dsm wako na specialist na ana schedule ya kuhudhuria pale sikumbuki mda ila just drop pale unaweza pata info
Naomba mnisaidie contact au address au jina la hosipitali na mahali ilipo ya daktari special wa magonjwa ya wanawake.
Iwe ni ndani ya Dar.
Thanks in advance.
contact zake?Miko hospital sinza Dr mnyau