Daktari wa fiziotherapia

kama ulipata nafuu kutumia dawa hizi. inaonesha utakuwa na shida ya mgongo ambayo ina athiri mishipa ya fahamu .

fanya kama nilivyojushauri kuhusu madaktari bingwa hao na kipimo.

ukiitaji msaada wa kuwapata wasiliana nami 0718 22 48 40
Neurobion na Aina nyingine za vitamins Ila mara ya mwisho mwaka Jana nmetumia Aina nmetumia LYRICA au pregabalin.
 
Orthopedic walishanifanyiaga uchunguzi . Labda sasa kwa ushauri wako niende kwa neurologist nimuombe anifanyie vipimo vya MRI. Nashukuru kwa ushauri. Ntaufanyia kazi
 
Orthopedic walishanifanyiaga uchunguzi . Labda sasa kwa ushauri wako niende kwa neurologist nimuombe anifanyie vipimo vya MRI. Nashukuru kwa ushauri. Ntaufanyia kazi
Usisahau kipimo hicho
 
kama ulipata nafuu kutumia dawa hizi. inaonesha utakuwa na shida ya mgongo ambayo ina athiri mishipa ya fahamu .

fanya kama nilivyojushauri kuhusu madaktari bingwa hao na kipimo.

ukiitaji msaada wa kuwapata wasiliana nami 0718 22 48 40
Nashukuru kwa ushauri . Hii number yako inapatikana WhatsApp
 
Ok basi ntakutafuta tuwasiliane. Nilivyowaelezea manesi ndio wakanipeka kwa mtaalam wa orthopaedics. Akiangalia mpaka kwa X ray ikaonekena sina shida. Labda sasa ntawaomba wanipeleke kwa Neurologist. Kwasababu waliniambia neurologist anashughuka na matatizo ya ubongo na kichwa. Pia ntakutafuta tuwasiliane zaidi. Kuna wataalam wengi wa Tiba mbadala wanachukua vipimo kwa machine zao wameshanilia hela Sana .
 
Nilikuwa naumwa mguu chini ya unyayo kama kuna sindano inanichoma nimeponea kwa mganga wa kienyeji hospital wamenizungua na kunipiga pesaaa
 
pole. neurologist sio kichwa peke yake. hata mishipa ya fahamu(neurons).

pia x ray haionyeshi mishipa ya fahamu au misuli. au diski/kisahani kati kati ya pingili.

ukifanya kipimo hicho cha MRI kama kuna tatizo kwenye diski,pingili,misuli na mishipa ya fahamu litaonekana.

kama unasikiaga mwili kuwaka moto wote itabidi ufanye MRI ya uti wa mgongo wote. kama una BIMA ya afya itakuwa nafuu no extra cost.

Matatizo haya ya viungo unaweza kusaidiwa na madaktari wa mifupa(orthopedics,neurologist ,na physiotherapist) tatizo kwamba upatikanaji wao sio rahisi kutokana na uchache wao. na ndo maana nimeamua kuwaelimisha watu ili wasiendelee kudanganywa na kupoteza pesa zao kwa waganga
 
Mi ni mtumishi na Bima ya afya ninayo . Ila kwa Tanzania MRI si mpaka hospital za Dar es salaam au muhimbili hospital tuu. Maanake hawa madaktari wa hospital za mikoani na wilayani. Tukienda huwa wanabadilisha dawa tuu. Nafikiri sasa itabidi nimtafute neurologist tuu anisaidue aisee. Ikishindikana kutumia Bima ntalipa hela cash
 
kweli kabisa. BIMA yako itakusaidia sana kupunguza gharama.

upo mkoa gani
 
Dr Kesho nategemea niende nikafanyiwe hicho kipimo. Dr sijawasiliana nae Ila najua hospital ninayoenda kuna hiki kipimo. Kwasababu Mimi nasikiaga mwili wote kuwaka moto ulishauri itabidi nifanye MRI ya uti wa mgongo wote. Kwasababu Tatizo lilianzia kwenye miguu baadae likaspread kwenye mgongo na baadae mwili mzima. Hii MRI watanifanyia kwenye Uti wa mgongo tuu. Au itabidi wanifanyie na kwenye miguu pia Tatizo lilikoanzia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…