Daktari wa Kanumba ni Imposter?

Maybe ni Doctor kweli but amekaa kiudakudaku zaidi, ameishi na wasanii, amejifunza umbeya na majungu mpaka akasahau Doctor anatakiwa aweje, so anataka kujiingiza kwenye kesi ya utoaji mimba kiholelaholea, but pengine akili zake hazimtoshi, hajui kwa kusema hivyo, atafutiwa Udaktari wake na kuishia jela, kwanini kupitia taaluma yake alishindwa kusaidiana na polisi ili kudeal na huo uovu Kanumba aliukuwa anamtaka aufanye kili mara ili kupunguza mambo kama hayo kwenye jamii, ni reasons gani za msingi alikuwa akipewa na Marehemu mpaka akatumia taaluma yake kufanya anachoambiwa au ni vijisenti tu alivyokuwa akipewa, au anampaka matope tu Marehemu, yaani kama ni kweli, afutiwe kuwa daktari na sheria ifuate mkondo wake, na yeye awe kama Lulu, kesi za mauaji, maana ni mimba zaidi ya moja ameshatoa kwa hao mademu mbalimbali wa K
 
Alitakiwa awe mshauri mkubwa kwa K juu ya hiyo ishu ya utoaji mimba but kama K angeendelea kusisitiza amsaidie kwa hilo, angetakiwa kumripoti polisi na kwenye taasisi za kutetea watoto, wanawake na haki za binadamu, ili jamii ijue uovu wake kama ni ishu yenye ukweli kabisa na sheria imshughulikie, but yeye akaona ajiunge naye katika kutekeleza hayo mauaji, yaani huyu mtu kwa kweli serikali isimwachie, idili naye ili iwe fundisho kwenye jamii, inawezekana K alikuwa na tabia hiyo ya mauaji kweli but si tunasema tu R.I.P K but God ndiye anayejua atamkeep kwenye peace au vipi, kila mtu na kila siku tunamkosea Mungu, kwa kutenda dhambi ,kwa kujua au kwa makusudi kabisa, wakati siku atakapotuchukua hatuijui, mara nyingi tunaenda kabla ya kutubu
 
Leo ni imetimia miaka 10, toka kifo cha nyota huyu wa Bongo Movies, Steven Kanumba, na mpaka Leo, sio tuu pengo lake halijazibika, bali hajapatikana star mwingine yoyote wa kuvaa viatu vyake vikamfiti.

RIP Steven Kanumba, tutakukumbuka milele!.
Paskali
 

Mrejesho kwa huyo daktari wake uliyemuita imposter.![emoji276]
 
afadhali huyo daktari wa Kanumba kuliko yule daktari wa bwana mkubwa wa chattle aliyempatia mgonjwa wa covid matibabu ya kujivukiza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…