Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
RIP..... Our beloved Dr..View attachment 2343270
Klabu ya Simba SC imetangaza kuwa Daktari wa Timu hiyo ambaye kwa sasa alikuwa Daktari wa timu ya vijana, Yassin Gembe amefariki dunia mchana wa leo katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Taarifa zaidi zitakujia.
Bado weweDaaah mbona simba vifo vimeongozana vya vigogo?, juzi tu mzee Somo tumempumzisha kwenye nyumba yake ya milele, leo tena Daktari mkongwe naye ndo hivyo.
Poleni wanafamilia wote, wanachama , wapenzi wa Simba na wapenda soka wote Tanzania.
Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina la Bwana lihimidiwe.
Na weweBado wewe
Mi mwanachi sio mnyama bundi katua msimbaziNa wewe
Kila nafsi iliyozaliwa itaonja mautiMi mwanachi sio mnyama bundi katua msimbazi
Dua ya ( Kisomo cha ) Wasaliti Simba SC imeshapigwa Kimya Kimya na Wasaliti waliombwa wawahi Kuomba Radhi kwani makubwa yanakuja. Naomba nisiendelee zaidi ya hapa tafadhali.Daaah mbona simba vifo vimeongozana vya vigogo?, juzi tu mzee Somo tumempumzisha kwenye nyumba yake ya milele, leo tena Daktari mkongwe naye ndo hivyo.
Poleni wanafamilia wote, wanachama , wapenzi wa Simba na wapenda soka wote Tanzania.
Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina la Bwana lihimidiwe.
Ongezea kidogo maelezo kwa manufaa ya wakazi wa huko kwenu Masasi vijijini na Musoma.Dua ya ( Kisomo cha ) Wasaliti Simba SC imeshapigwa Kimya Kimya na Wasaliti waliombwa wawahi Kuomba Radhi kwani makubwa yanakuja. Naomba nisiendelee zaidi ya hapa tafadhali.