Daktari wa macho

Daktari wa macho

Cherrylicious

Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
37
Reaction score
2
Nawaslimu nyote jamvini...Naomba kwa yeyote anayemfahamu daktari wa macho jijini A town, nina mtoto ambaye na shida sana ya macho.

Natanguliza shukrani
 
Dada Cherrylicious mbona unacheza/dance sana huchoki?-ahaaaaaaaaaaha.
Nigeweza kukushauri kitu kama ningejua anaumwa nini,nakuomba usifanye mchezo na macho ya mtoto jitahidi hata kama ni gharama lakini ufuate na upate ushauri wa ma Dr.Bingwa usiwape watu kujaribia macho ya mtoto,
Rgds,
RE
 
CCBRT huduma hii ni bure kabisa kwa watoto chini ya miaka mitano. Jitahidini mumsaidie mtoto kwa njia yoyote jamani.
 
Back
Top Bottom