Big Dy
JF-Expert Member
- Dec 23, 2015
- 478
- 585
Habari za wakati huu wanajamvi,
Rejea heading hapo juu nina ndugu yangu wa karibu kabisa naona tunaelekea kumpoteza siku si nyingi kutokana na stress ama msongo wa mawazo alikokua nao mpka kupelekea kukosana kabisa na ndugu zake. Naulizia kwa hapa Dar es salaam ni sehem gani ninawea pata huduma nzuri au kupata daktar mzur wa matatizo ya akili.
Natanguliza shukran zangu za dhati.