Habari za wakati huu wanajamvi,
Rejea heading hapo juu nina ndugu yangu wa karibu kabisa naona tunaelekea kumpoteza siku si nyingi kutokana na stress ama msongo wa mawazo alikokua nao mpka kupelekea kukosana kabisa na ndugu zake. Naulizia kwa hapa Dar es salaam ni sehem gani ninawea pata huduma nzuri au kupata daktar mzur wa matatizo ya akili.
Natanguliza shukran zangu za dhati.
Pia kwa kukusaidia , natural medicine kupitia advanced Traditional Chinese medicine ( TCM ) world #1 ; Heshoutang Natural Health System / Xianhe ( USA) International Knowledge
MSONGO WA MAWAZO / ANXIETY & DEPRESSION: ( emotional disorder)
Hili tatizo liko connected na Mfumo wa Ini & Nyongo / Liver & Gallbladder system ( LG ) energy stasis
LG hutunza damu na kuachilia damu mwilini
LG ndio Mfumo unao control energy ya mwili , ndio unaowezesha Mifumo mingine kufanya Kazi kwa usahihi
LG ndio mfumo unao control maamuzi / decision
Mtu anapofanya maamuzi mabaya kwenye maisha ( stressed) ni shida ya nishati kwenye Mfumo wa Ini ,
1. Easily angry , anxiousness, depression, numbness, no peace of mind
Solution :
1. Smooth LG energy stasis, to remove anxiety & Depression
Huyu mtu baada ya hii tiba atapata amani kubwa na utulivu , na atakuwa na maamuzi sahihi katika maisha
Matatizo kama hayo yapo Connected na Energy disorder
Lab tests haziwezi onyesha tatizo , hivyo inakuwa ngumu kutibu !
Wasiliana nasi kwa msaada wa tiba , hakuna lisilowezekana kwenye Nature :
Cont : +255653048888 / +255757577995
www.heshoutang.com/heshoutang-dar-es-salaam-tanzania-office