jee hii agakhan inapokea bima ya NHIF
JEE AGAKHAN inapokea bima ya NHIF jee huyo doct anashuhulikia masuala ya uzaz kwa wanaume?nenda aghakani hospital, ulizia dr akhbar
JEE AGAKHAN inapokea bima ya NHIF jee huyo doct anashuhulikia masuala ya uzaz kwa wanaume?
sina uhakika ila kuna mtu kakujibu hapo juu, Huyo ni docta wa masuala ya uzazi ya wanaume, yuko vizuri sana, ila kwenye suala la pesa ndio ujipange kama bima yako ni unacceptable, unaweza kwenda muhimbili utapata daktari japo kwa kulipia, TMJ wana accept NHIF lakini daktari wa masuala ya uzazi ya kiume ni ishu.JEE AGAKHAN inapokea bima ya NHIF jee huyo doct anashuhulikia masuala ya uzaz kwa wanaume?