mtotopendwa
Member
- Feb 23, 2012
- 98
- 63
Habari zenu wanajamvi, naomba msaada kwa mtu anayefahamu daktari mzuri wa masikio. Nina mtoto wa miaka mitano lakini nimegundua uwezo wake wa kusikia unapungua jinsi anavyozidi kukua.
Habari zenu wanajamvi, naomba msaada kwa mtu anayefahamu daktari mzuri wa masikio. Nina mtoto wa miaka mitano lakini nimegundua uwezo wake wa kusikia unapungua jinsi anavyozidi kukua.
Mlete muhimbili hospitali
Dalush ntakupataje hapo muhimbili
Uje muhimbili kitengo cha ENT ulizia,hicho kitengo
Sorry dear unaweza nisaidia contact maana meambiwa yupo likizo na mtoto anashida mno pleasNenda TMJ kwa Dr Kuzema.ni daktari bingwa wa masikio.pia unaweza kumpata CCBRT.ila ccbrt foleni kubwa,so unaweza kwenda TMJ halafu anaweza kukusaidia ukamuona CCBRT kwa haraka .mimi mwanangu alipata tatizo kubwa sana la sikio,nikaambiwa hatapona hadi aende nje kutibiwa.nikaelekezwa kwa huyu Dr,ameshapona .