Hakuna Dkt wa mifugo wa level ya kata. Mpaka sasa wanaishia level ya wilaya, yaani District Veterinary Officer (DVO). Wapo wachache sana nchini kwa kuwa watu wanaogopa kusoma Bachelor of Veterinary Medicine (BVM) for 5 years pale SUA. Kwenye kata wapo maofisa mifugo wasaidizi wenye diploma za animal health & production.