kuna madaktari wengi wazuri wa meno
1. Smile dental clinic hipo mkabara na Holiday Inn Hotel, maeneo ya posta mtaa wa upanga.
2. AAR posta kuna daktari nzuri wa meno.
3.Ibrahimu Khaji pia
4.Shabbir dental clinic kuna madaktari wazuri wa meno.
5. Dr Gupta nae ni nzuri, yupo maeneo ya clock tower.
6. Regency upanga kuna madaktari wazuri wa meno.
7. Family clinic ya upanga pia hina madaktari wazuri wa meno
8. Bila kusahau Muhimbili, fast track kuna madaktari bingwa wa meno na huduma ni nzuri.
Chaguzi ni lako tuu.