W Wakukaja New Member Joined Mar 5, 2010 Posts 4 Reaction score 0 Mar 5, 2010 #1 Yeyote anayehitaji huduma ya matibabu na maendeleo ya mifugo ya aina zote basi ninaomba aniPM kwa mawasiliano zaidi. Nashukuru sana kwa ushirikiano na mnakaribishwa! Kila la kheri!
Yeyote anayehitaji huduma ya matibabu na maendeleo ya mifugo ya aina zote basi ninaomba aniPM kwa mawasiliano zaidi. Nashukuru sana kwa ushirikiano na mnakaribishwa! Kila la kheri!
MAMA POROJO JF-Expert Member Joined Nov 22, 2007 Posts 4,974 Reaction score 785 Mar 6, 2010 #2 Wakukaja said: Yeyote anayehitaji huduma ya matibabu na maendeleo ya mifugo ya aina zote basi ninaomba aniPM kwa mawasiliano zaidi. Nashukuru sana kwa ushirikiano na mnakaribishwa! Kila la kheri! Click to expand... Upo eneo gani la Tanzania?
Wakukaja said: Yeyote anayehitaji huduma ya matibabu na maendeleo ya mifugo ya aina zote basi ninaomba aniPM kwa mawasiliano zaidi. Nashukuru sana kwa ushirikiano na mnakaribishwa! Kila la kheri! Click to expand... Upo eneo gani la Tanzania?
W Wakukaja New Member Joined Mar 5, 2010 Posts 4 Reaction score 0 Mar 7, 2010 Thread starter #3 Majimoto said: Upo eneo gani la Tanzania? Click to expand... Nipo Dar es salaam ndugu yangu!
Mrbwire JF-Expert Member Joined Aug 10, 2009 Posts 200 Reaction score 51 Mar 22, 2010 #4 Daktari, 1. Nahitaji kupandisha ng'ombe wangu kwa sindano, specie bora ni ipi? (I.e. Lita kumi atleast kwa mtu aliyeko DSM) 2. Gharama yako nikikuita umchome sindano ya joto and then hiyo ya kupandisha ina cost kiasi gani? Nawakilisha.
Daktari, 1. Nahitaji kupandisha ng'ombe wangu kwa sindano, specie bora ni ipi? (I.e. Lita kumi atleast kwa mtu aliyeko DSM) 2. Gharama yako nikikuita umchome sindano ya joto and then hiyo ya kupandisha ina cost kiasi gani? Nawakilisha.