Daktari wa mifugo

mlambivu

Senior Member
Joined
Mar 20, 2013
Posts
149
Reaction score
42
Wanajamvi mimi nilianza kufuga kuku wa kienyeji kwa ajili ya nyumbani tu sio kwa ajili ya biashara.

Lakini sasa ivi nimepata mwamko wa kubadilisha, yani nataka kufuga kwa ajili ya biashara.

Tatizo linakuja jinsi ya kuzuia magonjwa na vifo vya ghafla vya kuku. Ninahitaji msaada wa daktari wa mifugo ili nisiweze kupata hasara ya kuku.

Anayefahamu daktari wa mifugo maeneo ya Kigamboni naomba msaada tafadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…