Daktari wa moyo

Daktari wa moyo

Wasiliana na Dr Bandali. Anapatikana Burhani Charitable health center (Ipo DSM). Namba yake ni 0712219000. Nakushauri kabla ya kwenda pale burhani mpigie kwanza make huwa anafika pale saa kumi na moja jioni.
 
Ni wapi kuna clinic ya magonjwa ya moyo / Dr. mzuri hapa Dar?Asante

Wasiliana na Dr Bandali. Anapatikana Burhani Charitable health center (Ipo DSM). Namba yake ni 0712219000. Nakushauri kabla ya kwenda pale burhani mpigie kwanza make huwa anafika pale saa kumi na moja jioni.

Mkuu Manake Mkari,

Pamoja na kumwona Dr Bandali, nakushauri pia kutumia GINSENG na RED YEAST COFFEE. Zitakusaidia sana katika kutibu matatizo yako ya moyo.


Hizi sio kahawa za kawaida (pure coffee) unazozifahamu ambazo ni hatari kwa afya yako. Kahawa hizi zimechanganywa na GINSENG na RED YEAST na kuzifanya ziwe na FAIDA NYINGI KIAFYA, na hasa magonjwa ya moyo. Maelezo yake ni kama ifuatavyo:

Kahawa za Ginseng & Red Yeast


Ni Njia Salama ya Kurejesha hali ya ujana na kuondoa Mafuta mabaya kwenye damu"lehemu"(Bad Cholesterol) ambayo ndo chanzo kikubwa cha Magonjwa ya Moyo (Heart Diseases).

Faida za kahawa ya Ginseng

  1. Inaboresha akili na kumbukumbu.
  2. Inakuweka katika hali ya kuchangamka.
  3. Inaongeza umakini na uwezo wa kuona na kusikia
  4. Inaongeza nguvu mwilini.
  5. Inaondoa mafuta mabaya (bad cholesterol).
  6. Inashusha presha ya juu.
  7. Inaongeza nguvu ya kujamiiana.

Faida za utumiaji wa kahawa ya Red Yeast

  1. Inashusha kiwango cha mafuta mabaya (bad cholesterol) na "triglycerides".

  1. Inaongeza kiwango cha mafuta mazuri (good cholesterol.)

  1. Inasaidia afya ya mfumo mzima wa damu (cardiovascular system).

  1. Inaupa lishe na virutubisho mzunguko wa damu (circulatory system).

  1. Inaboresha mmeng'enyo wa chakula.

Naamini maelezo haya yatakuwa msaada kwako na jamii yako inayokuzunguka pamoja na Wanajamvi kwa ujumla.

Kwa taarifa zaidi, piga: 0713 366 473 or 0767 277 223.

KARIBUNI. FEEL LOVE NOW!
 
Kuna dr mzuri sana kijana sanitaz msasani. Ipo baraka plaza. Google namba yao umpigie kwa appointment. Dr mustapha wa agha khan nae mzuri na hana foleni kubwa
 
Hata doctor Kanabar wa Regency Medical Centre in mzuri pia

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom