Kuna ndugu yangu amepata wasiwasi baada ya kuhisi yai lake la korodani ya kushoto limeungana na kitu na hajui ni kitu gani, wana JF tafadhari tunaomba msaada kwa anaye fahamu hii kitu!