Jaribu pale Morocco (kinondoni)- Furaha Medical (kuanzia saa 11 jioni lakini inabidi uchukue namba mapema). Kuna madakatari wawili Dulla na Massawe. Mimi naona wote ni wazuri tu kwa watoto. Consultaion fee ni around TZS 12,000.
Prof. Mwaikambo huyu mama ni mzuri kwa watoto yuko kairuki hospital but ana clinic yake kinondoni unapita hii njia ya homboz bale biafra kama unataka kutokea mwananyamala hospital kwa nyuma ama dawasco clinic yake inaitwa Elly Clinic
Mzee Daktari yeyote wa watoto atakuwa mzuri ila tu inategemea na ugojwa aliyonao mwanao, kwa mfano mtoto akiwa na malaria inamsumbua, sasa daktari mzuri ni yupi kwa hili? mzuri wa kutibu malaria, homa au kutokula vizuri?
Watu wengi wamekariri swali hili - likewise mtu ni mjamzito anauliza daktari wa kinamama mzuri ni yupi hapa dar? guys kama huna complication kwenye mwili wako Gaino yoyote atakuhudumia vizuri tu.
mzee utahangaika sana, unless mwanao mwanao hana afya njema lakini kama ni, malaria, homa, kutokula vizuri, kulia lia bila sababu, kukosa choo, homa kupanda usiku, kuharisha, kupungua uzito etc basi daktari yeyote wa watoto anafaa tu - cha msingi fika hostpitali kubwa yoyote hapa town utawakuta.